Mbunge Said Kubenea Awashukuru Wapiga Kura Wake

 Kubenea akizungumza na waandishi wa habari na wananchi katika Soko la Ndizi la Mabibo.  Hapa akiwaunga mkono wananchi kununua mananasi katika soko la ndizi la mabibo  Mbunge Kubenea akisalimiana na wananchi katika soko hilo.  Wafanyabiashara katika soko la ndizi la mabibo wakimsikiliza mbunge wao Said Kubenea.  Vijana wakiserebuka baada ya kuzungumza na mbunge wao Said Kubenea katika Soko la Mabibo. …