Etihad Airways Kuongeza Safari Nchini Tanzania

SHIRIKA la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam. Shirika la ndege la Etihad Airways, ambali shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzinfua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa …