Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu

Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu KAMPUNI ya Sadolin leo imemkabidhi gari aina ya TATA Pic-UP mshindi wa droo ya mwisho ya bahati nasibu iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni hiyo kwa wateja wake wa bidhaa za rangi za aina mbalimbali zinazozalishwa na kampuni hiyo. Aliyejishindia gari hilo ni Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi …