Mkenya Atolewa Jumba la Big Brother

MWAKILISHI wa Kenya ndani ya jumba la Big Brother, Sabina Anyango ametolewa ndani ya jumba hilo. Sabina ambaye ni mama wa mtoto wa miezi minane na ndio mkenya wa kwanza kufungishwa virago. Inadaiwa kuwa watazamaji na mashabiki wa shindano hilo waliamua kumpigia kura za kumtoa Sabina ili aende kumuhudumia mwanawe. Ikiwa ni siku 14 pekee zilizopita mshiriki Sabina ameonekana kumkumbuka …