Banda la NSSF Lavutia Wengi Maonesho 39 ya Kimataifa Sabasaba

WANACHAMA wote wa NSSF na wasio Wanachama Mnakaribishwa kujionea na kupata huduma mbalimbali zikiwemo, taarifa za jumla zinazohusu kujiandikisha uanachama, uwekezaji unaofanywa na Shirika, Maelezo kuhusu Bima ya afya itolewayo na NSSF,na kupata Kadi mpya. Wageni wote wanaweza kujua kuhusu namna ya kuwasilisha maoni yao kupitia mfumo wetu mypa wa HaapyOrNot uliopo katika ofisi za Kinondoni, Ilala, Temeke na GDE- …

Serikali ya Watanzania Ikowapi Sabasaba..?

Mhariri pole na hongera kwa kazi nzuri ya kutupatia taarifa mbalimbali zinazo tuhusu Watanzania. Kisha napenda kutumia nafasi hii kuomba serikali ya Mh Rais Jakaya Kikwete iliyopewa dhamana na Watanzania kuwaonea huruma Watanzania kwa kuwapunguzia mzigo mzito wa malipo ya kuingia kwenye Maonesho ya Sabasaba. Binafsi nimefika kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho yamewalenga wenye kipato cha juu …