MKUU wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha mkoani Mwanza Mhandisi Ernest Makale, leo ametoa taarifa ya Utendaji kazi wa taasisi hiyo mbele ya Wanahabari katika kipindi cha robo mwaka (Januari hadi Machi) mwaka huu. Katika taarifa hiyo, Mhandisi Makale amebainisha kuwa Takukuru imepokea jumla ya malalamiko 45 yanayohusiana na vitendo vya rushwa kutoka kwa wananchi ambapo katika malalamiko hayo, …
Mitandao Inavyochochea ‘Rushwa’ ya Ngono
Na Mwandishi Wetu WANANCHI kwa ujumla wanatakiwa kuwa makini na matumizi ya mitandao mbalimbali kwa kutumia simu zao za mkononi, kompyuta na vifaa vingine. Hii ni kutokana na baadhi ya watu kutumia mitandao vibaya kwa kuwatishia watu na hata kwa wizi kwa lengo la kujipatia kipato toka kwa marafiki wakaribu au wapenzi wao wa zamani kwa kuitaji kiasi kikubwa cha …
Wanafunzi Msingi Wampa Ujumbe wa Rushwa Rais Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde “Kibajaji” Kikundi cha utamaduni cha Shule ya …
‘Watumishi umma wala rushwa ni watumwa’
WATUMISHU wa umma wanaokumbatia rushwa wamefananishwa na watumwa wanaoabudu wenye mali. “Mtumishi wa umma mla rushwa ni mtumwa anayeabudu wenye mali na kamwe hawezi kuwa na ufanisi kazini”, alisema Emmanuel Mlelwa, Kaimu Mkurungenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa. Mlelwa alizungumza hayo wakati wa semina ya siku moja iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (Takukuru) kwa wakuu …