CHAUMMA Yapongeza Vyama Vya UKAWA Kuungana!

  Muungano huo kwa mujibu wa CHAUMMA ni harakati za kuwakomboa watanzania kutoka mikononi mwa watu ambao wamejipa haki ya kutawala kwa hila na kila aina ya ulaghai kugeuza kuwa ndiyo ajira yao ya kudumu ili mradi waendelee kushikiria madaraka ya kuongoza nchi bila ya kujali maendeleo ya msingi kwa wananchi. Mwenyekiti CHAUMMA taifa Mh. Hashim Rungwe anavipongeza vyama hivyo …