Watanzania Wang’ara Ngorongoro Marathon 2015

WANARIADHA wa Tanzania Joseph Theofily wa klabu ya riadha ya Holili ya mkoani Kilimanjaro na Failuna Abdi wa klabu ya riadha ya Winning Spirit ya jijini Arusha wamefanikiwa kupeperusha vyema Bendera ya taifa baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathoni kwa upande wa wanaume na wanawake. Mwanariadha Theofily alifanikiwa kumaliza mbio za km 21 …

Oscar Pistorius Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5

MWANARIADHA nyota wa nchi ya Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kwenda jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp bila kukusudia. Hukumu hiyo imetolewa baada ya mwanariadha huyo mlemavu kuthibitika kuwa alifanya mauaji hayo bila ya kukusudia. Jaji Thokozile Masipa akitoa hukumu hiyo alianza kwa kueleza kuwa itakuwa ni vigumu na changamoto kwake kutoa hukumu …