Redio za Kijamii Zaadhimisha Siku ya Redio Duniani

Mshehereshaji kwenye madhimisho ya siku ya redio duniani, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog). Na Mwandishi wetu, Arusha Vyombo vya habari hususan redio za jamii zimetakiwa kutanguliza  uzalendo na kutetea …