Show ya El Classico yamalizwa na Messi sekunde za mwisho.

Mshambuliaji wa  Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ndio ameonekana kuwa hatari zaidi kwa kumsababishia Sergio Ramos kupata kadi nyekundu ya 22 katika historia yake ya soka kutoka na kumchezea Lionel Messi faulo dakika ya 77, Lionel Messi ndio alikuwa hatari na kufanikiwa kufunga magoli mawili dakika ya 33 na 90 baada ya Ivan Rakitic kufunga goli la pili dakika …

NSSF, Real Madrid Kuzalisha Vipaji vya Soka Tanzania

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeingia mkataba na klabu maarufu duniani ya Real Madrid ya Hispania wa kujenga kituo cha michezo kwa ajili ya kuzalisha vipaji. Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo wa miaka 18, Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk Ramadhani Dau alisema ujenzi huo utagharimu Sh bilioni 16 …

Mastaa wa Real Madrid Wawachapa Wenzao wa Tanzania

MASTAA wa zamani wa timu ya Real Madrid leo wamewafunga mastaa wenzao waliowika hapo nyumba wa Tanzania mabao 3 kwa moja katika mchezo uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mastaa wa Real Madrid wakiongozwa na nguli wa mchezo huo wa mpira wa miguu Luis Figo walifanikiwa kuwafunga mastaa wa Tanzania baada ya mpambano mkali ambao ulikuwa na mvuto …