RC Mwanza Aapa Kumsaka Albino Aliyepotea, Hadi Kieleweke…!

Na Atley Kuni, Ofisa Habari Mwanza SERIKALI mkoani Mwanza imesema hakuna kulala hadi mtoto Pendo Emmanuel (Albino) apatikane kufuatia tukio la kutekwa na watu wasiojulikana toka tarehe 27.12.2014 katika kijiji cha Ndami, Tarafa ya Mwamashimba Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza na kisha kutoweka naye kwenda kusiko julikana hadi sasa. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo, …