RC Makonda Azinduwa Ujenzi wa Hospitali ya Chanika

Meneja wa Mradi huo, Mr Kim akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na ujembe wake ramani ya majengo ya Hospitali hiyo. Na Dotto Mwaibale MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na balozi wa Korea nchini Geum-young Song wameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Chanika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo …

RC Paul Makonda Alivyopokewa Ofisini Dar…!

Na Dotto Mwaibale MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ameanza kazi rasmi leo mchana ambapo alifanya mazungumzo na wakuu wa idara na Vitengo mbalimbali na kutoa maagizo mazito ambapo alitoa masaa 24 kwa wakuu hao ya kumpa taarifa zilizopo katika maeneo yao husika zenye kuelezea changamoto mbalimbali ili kuona wananchi wanakabiliwa na changamoto zipi na namna atakavyoweza kuzitatua. Makonda …