RC Arusha Ahimiza Wananchi Murieti Kujenga Sekondari

  Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda (kushoto) akimkabidhi mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Terrat Mlimani, Kata ya Murirt, jiji la Arusha Mbuzi ukiwa ni mpango wa serikali ikishirikiana na wadau wa maendeleo kunusuru kaya masikini.     Wakazi wa Kata ya Muriet jiji la Arusha wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda.   Mratibu wa Tasaf Jiji …

RC Katavi Aupa Somo Uongozi wa Chuo Kikuu Huria

Na Kibada Enest, Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahimu Msengi ameshauri Uongozi wa Chuo Kikuu Huria tawi la Mkoa wa Katavi kuwa wabunifu katika kutafuta vyanzo vya mapato kuliko kutegemea Ada ya wanafunzi na ruzuku ya serikali katika kujiendesha kuliko kutegemea pato moja tu ambalo ni ada ya wanachuo. Ametoa rai hiyo wakati akihutubia Jumuiya ya wananchuo na wananchi kwenye hafla …

RC Katavi Aagiza Waliokimbia Sekondari 2014 Warejeshwe

Na Kibada Ernest Kibada, Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Dk. Ibrahimu Msengi ameagiza wanafunzi wote waliohitimu Elimu ya Msingi mwaka 2014 na kuchaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari waripoti katika shule walizopangiwa kuhudhuria masomo yao. Alitoa kauli hiyo katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Mstaafu Issa Seleman Njiku wakati akifungua kikao …

Viongozi wa Chadema Wampinga Mkuu wa Mkoa

KAULI ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama ya kuwataka viongozi wa serikali za vijiji kuondoka katika ofisi walizokua wakizitumia awali na kwenda kupanga majengo ya watu binafsi imepingwa vikali na wananchi pamoja na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Kauli ya Mkuu wa mkoa aliitoa Februari 5, 2015 wakati alipokua akizungumza na viongozi wa kata, vijiji na …

Rais Kikwete ‘Atimua’ na Kuteua Wakuu wa Mikoa, Ma-Katibu, Ma-DC Waguswa…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi nyingine. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mjini Dodoma, Novemba 5, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue inasema kuwa, Wakuu wapya wa Mikoa ni Bi. Halima Omari Dendego ambaye anakuwa Mkuu …