Huyu Ndiye Mchezaji Bora Ligi Kuu Novemba

MSHAMBULIAJI wa timu ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera, Rashid Mandawa amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kwa mwezi Novemba mwaka huu ambapo atazawadiwa kitita cha sh. milioni moja. Mandawa ambaye kwa mwezi huo alichuana kwa karibu na mshambuliaji Fulgence Maganda wa Mgambo Shooting ya Tanga na nahodha wa Simba, Joseph Owino atakabidhiwa zawadi yake na …