Rais Kikwete Atuma Rambirambi Msiba wa Jenerali Herman Lupogo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange kuomboleza kifo cha Meja Jenerali Herman Cornel Lupogo ambaye aliaga dunia Oktoba 19, 2014, akiwa na umri wa miaka 76 katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo, Dar es …

TFF na Rambirambi Msiba wa Luteni Lugenge

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi wa daraja la kwanza (class one), Luteni  David Lugenge kilichotokea Septemba 7 mwaka huu kwa ajali ya gari katika Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.   Luteni Lugenge ambaye mwishoni mwa wiki alishiriki mitihani ya utimamu wa mwili kwa waamuzi wa Ligi Kuu alikuwa na ndugu yake Christopher …

Ikulu Yamtumia Rambirambi RC Mbeya Vifo vya Watu 10

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuomboleza vifo vya watu 10 vilivyotokea Mbalizi, Mkoani Mbeya Agosti 29, 2014 baada ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace maarufu kama Daladala Na. T 237 BFB kugongana na lori aina ya Tata Na. T 158 …