JK Atuma Rambirambi Kifo cha John Barongo

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana, kufuatia kifo cha Capt. Mstaafu John Rwezaura Barongo kilichotokea tarehe 20 Octoba, 2014 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. “Chama kimempoteza mtumishi wake wa muda mrefu na muaminifu, ambaye amefanya kazi zake bila kuchoka na hata baada ya kustaafu amebakia …