RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete aliondoka nchini usiku wa Jumamosi, Julai 25, 2015, kwenda Australia ambako anaanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne, Julai 27, 2015. Rais Kikwete anafanya ziara hiyo rasmi ya Kiserikali katika Jumuia ya Madola ya Australia (The Commonwealth of Australia) kwa mwaliko wa Jenerali Sir Peter Cosgrove AK MC (Mstaafu), …
Rais Kikwete Ahitimisha Mafunzo ya Wakongo
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ametunuku kamisheni kwa maofisa wapya wa Kitanzania 23 miongoni mwa maofisa 437 wa kundi la 53/13 – Kongo. Kundi hilo liliwajumuisha maofisa wa Kitanzania wapatao 23 na wahitimu 414 kutoka Kongo. Jumla ya wanajeshi 414 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamehitimu mafunzo ya Uafisa …
Serikali Tatu Zingemkejeli Mwalimu Nyerere – Rais Kikwete
*Maisha yake alipigania Muungano na Muundo wa Serikali mbili RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa sherehe za leo za Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, zingekuwa zinamkejeli moja kwa moja Mwalimu kama Katiba Inayopendekezwa ingekubali pendekezo la Serikali Tatu. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa hajui Watanzania wangesema nini katika sherehe za mwaka huu …
Rais Kikwete Awatembelea Viongozi Waliolazwa Muhimbili
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Paschal Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mjumbe wa …
Rais Kikwete ‘Alilia’ Malengo ya Milenia Canada
RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa malengo ya milenia yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya kuweka malengo mengine duniani. Rais Kikwete ametoa ushauri huo tarehe 28 Mei, 2014 mwanzoni mwa mkutano wa kimataifa unaohusu Afya ya Mama na Mtoto jijini Toronto Canada, ambapo alikuwa akijibu maswali kuhusu …
- Page 1 of 2
- 1
- 2