Hatimaye Rais wa Zambia, Michael Sata Amefariki Dunia

RAIS wa Zambia, Michael Chilufya Sata amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa ya wanafamilia wa Rais huyo, Michael Sata imeviambia vyombo vya habari kuwa rais huyo amefariki dunia katika hospitali ya London alikokuwa akitibiwa ugonjwa ambao haujatajwa hadi sasa. Kifo cha Rais Sata aliyekuwa na umri wa miaka 77 kimetokea ikiwa ni siku chache baada ya Zambia kusherehekea miaka 50 …