Rais Museveni Apewa Kibarua Kusuluhisha Mgogoro wa Kisiasa Burundi

Na Benedict Liwenga, Maelezo WAKUU wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wamemteua Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuwa msimamizi wa kuongoza juhudi za kupatanisha makundi nchini Burundi. Taarifa ya makubaliano toka kwa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetolewa jana Ikulu Dar es Salaam wakati wa kuhitimisha Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo ambapo …