Rais Mstaafu Mwinyi Awaasa Watanzania

Na Aron Msigwa – MAELEZO RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, amewataka Watanzania kuwa makini kwa kutoruhusu tofauti za dini zilizopo nchini kuwa chanzo cha mgawanyiko miongoni mwao. Kauli hiyo ameitoa jana jijini Dar es Salaam wakati wa futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki kwa watoto wanaoishi katika vituo vya kulelea …