Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi Wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi Wa Chama Cha Albino Tanzania baad ya kukutana nao pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe na Mwanasheria …
Rais Kikwete Apangua Ma-DC, 12 Wapigwa Chini, Watano Waula…!
RAIS wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ikiwa ni pamoja na kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12 na kuwapangia majukumu mengine wakuu wa wilaya 7. Taarifa imesema mabadilio hayo ameyafanya ili kuboresha utendaji kazi na pia kwa kuzingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba za wakuu wa wilaya kutokana na sababu mbalimbali. Wakuu …
Chifu Abdu Adam Mkwawa Azikwa, JK Ashiriki Mazishi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Februari 16, 2015, ameungana na mamia ya waombolezaji kumlaza katika nyumba yake ya milele, Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa. Aidha, Rais Kikwete ameshuhudia kutawazwa kwa Chifu mpya, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili, kijana wa miaka 14, ambaye yuko darasa la saba na ambaye …
Rais Kikwete Azindua Rasmi Jengo la Biashara Moshi
*KILIMANJARO COMERCIAL COMPLEX RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete azindua rasmi jengo la kitega uchumi mjini moshi Mradi huu ni wa ubia kati ya NSSF, Tanzania Red Cross (TRCS), UMATI na Tanzania Girl Guides Association (TGGA). Jengo hili lina jumla ya mita za mraba 30,050 za kupangisha. Yapo maeneo kwa ajili ya mabenki, sehemu za …
Rais Kikwete Amtumia Rambirambi Rais Mpya wa Mozambique, Nyusi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Rais mpya wa Mozambique, Filipe Jacinto Nyusi salamu za rambirambi kuomboleza vifo vya watu 79 waliopoteza maisha yao kutokana na kunywa pombe yenye sumu. Aidha, Rais Kikwete amewatakia watu wengine 174 ambao wamepata madhara ya viwango mbali mbali katika tukio hilo, baadhi yao bado wamelazwa hospitali, kupata nafuu ya …