JK Ateuwa Wabunge Wawili Wapya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wabunge wawili (2) wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Walioteuliwa ni Dk. Grace Khwaya Puja na Bwana Innocent Sebba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari kutoka ikulu leo, Rais amefanya uteuzi huu kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Rais Kikwete Ziarani Nchini Namibia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili nchini Namibia, Machi 20, 2015 kwa ziara ya siku tatu nchini humo ambako atahudhuria sherehe mbili kubwa na muhimu kwa taifa la Namibia. Rais Kikwete na ujumbe wake amewasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Hosea Kutako mjini Windhoek kiasi cha saa 12 jioni kwa saa za Namibia …

Rais Kikwete Awafariji Waliokumbwa na Mvua ya Mawe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Machi 12, 2015, alifanya ziara maalum ya kutoa pole kwa wahanga wa mvua iliyoandamana na mawe na kusababisha upotevu wa maisha ya watu na uharibifu mkubwa wa mali katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Rais Kikwete amewasili mjini Kahama kiasi cha saa nane mchana …

Rais Kikwete Awaongoza Wanawake Maadhimisho ya Wanawake Duniani

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani  iliyoadhimishwa kitaifa mjini humo  Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood   Rais Kikwete akisalimiana na viongozi wa dini mkoa wa Morogoro  Rais Kikwete akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini …

Rais Kikwete Amtembelea Kagame Rwanda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini, Machi 7, 2015, kwenda Kigali, Rwanda kwa ziara ya siku moja nchini humo kwa mwaliko wa Rais Paul Kagame. Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete atahudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini – Northern Corridor Integration Projects …