Hotuba ya Rais Kikwete Akizungumza na Wazee Mkoa wa Dodoma
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, WAKATI WA MAJUMUISHO YA MKOA WA DODOMA, DODOMA TAREHE 04 SEPTEMBA, 2014 Utangulizi Mheshimiwa Dkt. Rehema Nchimbi, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma; Waheshimiwa Mawaziri; Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya, Wabunge, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na Miji; Waheshimwa Madiwani; Wazee Wangu; Ndugu wananchi; Kuna …
Rais Kikwete Asema Tanzania Imeidhibiti Vema Ebola
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imejipanga kukabiliana na Ugonjwa wa Ebola na hivyo kuwataka Watanzania wasiwe ma hofu na kuendelea kufanya shughuli zao. Rais Kikwete aliyasema hayo jana mjini Dodoma alipokuwa akiwahutubia wazee wa mkoa huo ikiwa ni utaratibu wake wa kulihutubia taifa kila mwezi. “…Tumejipanga vizuri kuzuia ugonjwa huu (Ebola) usiingie Tanzania. …
Hotuba ya Rais Kikwete Ufunguzi Huduma ya Uchunguzi Saratani ya Shingo ya Kikazi
HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA UFUNGUZI WA HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI NA YA MATITI MKOANI TABORA, TAREHE 7 JUNI, 2014 Mhe. Mama Salma Kikwete, Mlezi wa MEWATA; Mhe. Kebwe Steven Kebwe (Mb.), Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii; Mhe Fatma Mwasa, Mkuu wa …
Rais Kikwete Awasilisha Rambirambi za Watanzania kwa rais wa Nigeria
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Mei 8, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan katika Hoteli ya Transcorp Hilton katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Abuja. Katika mazungumzo hayo, Rais Kikwete kwa mara nyingine, amewasilisha rambirambi rasmi za Tanzania, za Watanzania na za kwake mwenyewe kwa kiongozi huyo wa Nigeria kufuatia …
Rais Kikwete Awasili Abuja, Nigeria
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili kwenye mji mkuu wa Nigeria wa Abuja usiku wa jana, Jumanne, Mei 6, 2014 kuhudhuria Kongamano Uchumi Duniani (WEF) kwa Bara la Afrika – World Economic Forum Africa – linaloanza leo. Rais Kikwete amewasili kujiunga na marais 13 na wajumbe zaidi ya 1,000 ambao watahudhuria Kongamano hilo la siku …