Kikwete ‘Awakoromea’ Mabalozi, Awataka Kutochanganya Dini na Siasa

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kuna ushahidi sasa unaothibitisha kuwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wamekuwa wanachaganya dini na ziasa wakitumia dini kuunga mkono baadhi ya vyama vya siasa na shughuli za kisiasa nchini. Aidha, Rais Kikwete amewaomba mabalozi hao “kuiokoa” Tanzania katika majanga makubwa yanayoweza kuipata kwa kutumia dini …

Rais Kikwete Awasili Washington DC Kushiriki Mikutano

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya “USIKU WA JAKAYA”  leo jioni.  Karibu Washington DC Mheshimiwa  Rais akiendelea kusalimia na na wafanyakazi wa ubalozini  Mapokezi yakiendelea  Rais Kikwete …

Rais Kikwete Awasili New York, Marekani

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar …

Rais Kikwete Afungua Mkutano wa ESRF Kujadili Uchumi

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akisalimiana na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)  nchini, Alvaro Rodriguez nje ya ukumbi wa mikutano kabla ya mgeni rasmi kuwasili kwenye mkutano mkubwa wa tatu wa ESRF unaozungumzia ukuaji wa uchumi …

JK, Museveni Wakutana Faragha Dar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Septemba 10, 2014, alifanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Ikulu, Dar es Salaam. Rais Museveni ambaye alikuwa kwenye ziara ya siku moja ya kikazi Tanzania, aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa 4 na dakika 10 asubuhi na kupokelewa na …