Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka waandishi wa Bara la Afrika kutokujihusisha na rushwa, ili wawe na nguvu za kutosha za kiroho kuwanyoshea vidole watu wengine. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa wingi mkubwa wa vyombo vya habari nchini unathibitisha kuwa Serikali yake inaendelea kulea na kukuza uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vina …
JK, Dk Bilal Aongoza Waombolezaji Kumuaga Dk Shija
Rais Kikwete Amwaga Marehemu Dk. Shija RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Oktoba 12, 2014, ameungana na waombolezaji kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Katibu Mkuu wa Kwanza Mwafrika wa Chama cha Mabunge ya Jumuia ya Madola (CPA) Dk. William Ferdinand Shija, ambaye pia alipata kuwa Waziri Mwandamizi wa Serikali, katika shughuli iliyofanyika kwenye …
Ikulu Yakanusha JK Kupewa Zawadi ya Saa na Mfanyabiashara
GAZETI la Raia Mwema la wiki hii ya Oktoba 8-14 ambalo limetolewa jana, Jumatano, Oktoba 8, 2014, limeandika kwenye ukurasa wake wa kwanza habari yenye kichwa cha habari, “Mwekezaji aliyemzawadia saa Kikwete aibua utata”. Kichwa cha habari hicho kinafuatiwa na habari yenyewe ambayo kwenye moja ya aya zake inadai kuwa “tayari Rais Kikwete amekutana na mwekezaji huyo wa Marekani, Roberk …
JK Asema Katiba Inayopendekezwa ni Historia Mpya…!
Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma KATIBA Inayopendekezwa imekabidhiwa rasmi 8 Oktoba, 2014 kwa Waheshimiwa Marais wa Tanzania Bara, Dk. Jakaya Kikwete pamoja Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. Akihutubia wakati wa sherehe ya Makabidhiano ya Katiba hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mrisho Kikwete alisema kuwa tukio hilo ni jambo la kihistoria kwa nchi ya …
Matukio Mkutano wa Viongozi wa Dini za Kikiristo na Kiislam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence. Rais Jakaya Mrisho Kikwete …