Serikali Haina Nguvu Kuzungumzia Uraia Pacha – Rais Kikwete

Na Joseph Ishengoma RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amesema hana mamlaka ya amri kuzungumzia uraia pacha kwasababu suala hilo ni la kikatiba. Rais Kikwete alisema hayo katika Kongamano la Kwanza la Diaspora lililofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Diaspora ni lugha inayotumika kuwatambulisha Watanzania walioko nje ya nchi wanaojiendeleza kwa njia mbalimbali …