Kilio cha Mrema Chasikika Ikulu, Rais Dk Magufulia Ampa Kazi

KILIO cha muda mrefu cha Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Lyatonga Mrema kuomba asisahaulike katika ufalme wa Rais Dk John Pombe Magufuli kimesikika na hatimaye amekumbukwa na rais kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu Lyatonga ameteuliwa rasmi na Rais …

Mwanza Kufanya Ibada Kumuombea Rais Magufuli na Serikali Yake

Na Nyakongo Manyama na Scolastika Tweneshe-MAELEZO MKOA wa Mwanza unatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kumwombea Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Taifa kwa ujumla. Maombi hayo yanatarajiwa kufanyika Jumatano ya wiki ijayo katika Viwanja vya Furahisha. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Good News For All Ministry Askofu Dk. …

Rais Dk Magufuli Atoa Mpya Baada ya Kulihutubia Bunge

BAADA ya kulihutubia na kulizindua bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN POMBE MAGUFULI amehudhuria hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma na kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla hiyo zipelekwe Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda …

Rais Dk. Magufuli Aanza Kuteuwa Wabunge, Amteuwa Mmoja…!

IKIWA joto la siasa nchini likiendelea kupanda huku wengi wakisubiri kujua sura ya baraza la mawaziri la Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli tayari rais huyo ameanza kufanya uteuzi wa wabunge kwa mujibu wa uwezo aliopewa na Katiba ya nchi. Leo Dk. Magufuli amemteuwa Dk Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge wa Bunge la …