Rais Kikwete Amteuwa CAG Mpya Kumrithi Utouh…!

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kushika nafasi iliyoachwa na Ludovick Utouh aliyestaafu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, leo jijini Dar es Salaam, uteuzi wa Assad ulianza tsngu Novemba 5, mwaka huu, 2014. Taarifa hiyo …