Prisca Mpesya Mama Anayeteseka na Watoto Albino

Ndugu zangu, LICHA ya kuuguza jeraha la kichwani pamoja na kumuuguza mtoto wake mdogo mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) aliyekatwa mkono na watu wasiojulikana, Bi. Prisca Shaaban Mpesya (28) amejifungua usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa Mbeya. Bi. Prisca, mkazi wa Kitongoji cha Kikonde, Kijiji cha Kaoze katika Kata na Tarafa ya Kipeta wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa, alifikishwa …