Porojo za Anko Kidevu na Press Card za Maelezo

WASOMAJI  na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo zangu za ukweli. IDARA ya Habari – MAELEZO ndiyo idara ya Serikali inayoshughulika na kufanya kazi zake kama chombo cha usimamizi wa vyombo vya habari na waandishi wake. Idara hiyo pia ndio msemaji …