Polisi Wawapiga Mabomu ya Machozi Wabunge Bungeni

POLISI wa Mji Mkuu wa Lagos, nchini Nigeria, wamefyatua gesi ya kutoa machozi ndani ya Jengo la Bunge, na kulazimisha kuahirishwa kwa mjadala muhimu wa bunge hilo kuhusu kurefushwa kwa kipindi cha hali ya tahadhari Kaskazini mwa nchi hiyo. Taarifa za mwaandishi wa habari hizi inaeleza kuwa maofisa wa Polisi walikuwa wakijaribu kumzuia Spika wa Bunge la Wawakilishi, Aminu Tambuwal …

Mabibo Bia na Jeshi la Polisi Zatoa Semina Morogoro…!

   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi  (SACP), Leonard Paul (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, Fr James Rugemalira (kushoto) na Mshauri wa Kampuni ya Mabibo, Kamala Stephen baada ya kufungua semina hiyo katika Hoteli ya Top Life mjini Morogoro leo asubuhi.(Imeandaliwa na mtandao wa  www.habari za jamii.com-simu namba 0712727062)  Mshauri …

Mitandao ya Jamii Kutumika Kutoa Elimu ya Usalama Barabarani

Dodoma NAIBU Kamishna wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani nchini ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la  Taifa la Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, amekubaliana na haja ya kuanzisha mafunzo katika vyombo vya habari vya kijamii kama facebook ili kutanua uwanja zaidi wa elimu ya usalama barabarani hasa kwa vijana ambao ndio waathirika wakubwa wa ajali. …