Polisi Dodoma Wazungumzia Mamilioni ya Fedha Kwenye Begi

JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusiana na fedha alizokamatwa nazo mfanyabiashara na kuelezwa kwamba ni za Mkurugenzi Mtendaji Mkuu, Yusuf Manji anayemiliki kampuni ya Quality Group. Mitandao na vyombo vingine vya habari vilieleza kuwa fedha hizo zilitoka katika kampuni hiyo ya Manji ambaye ni Mwenyekiti wa Yanga na kupeleka Dodoma kuhusiana na suala la uchaguzi wa mgombea yupi ashinde ugombea …