Na Eleuteri Mangi – MAELEZO WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewatoa Watanzania hofu kuhusu suala la wageni kumiliki ardhi nchini. Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati akifungua mkutano wa pili wa majadiliano ya pamoja kati ya Serikali ya Mitaa ya China na Tanzania ambapo walishirikiana pia na sekta ya biashara kutoka nchi hizo. “Hofu …