Bunge la Katiba Lapitisha Katiba Inayopendekeza, Pinda Ataka Ianze 2015

HATIMAYE Bunge Maalumu la Katiba limehitimisha kazi yake leo Mjini Dodoma na kutolewa kwa matokeo ya upigaji kura kwa wajumbe kuipitisha Katiba inayopendekezwa. Akisoma taarifa ya matokeo ya kura Bungeni leo, Naibu Katibu wa Bunge la Katiba, Dk. Thomas Kashililah alisema idadi kubwa ya wabunge wamepiga kura za ndiyo kupitisha Sura na Ibara zilizopigiwa kura na wabunge hao. Alisema kura …