IGP Mstaafu Philemoni Mgaya Asherekea Miaka 85

WAZIRI Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya amewaomba watanzania kuwa na tabia ya utii wa sheria, uaminifu na uadilifu katika nafasi zao wanazozitumukia katika Taifa la Tanzania. Msuya aliyasema hayo katika sherehe ye kuadhimisha miaka 85 ya kuzaliwa ya aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Philemoni Mgaya iliyofanyika katika Hotel ya Protea, Court Yard jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu alieleza kuwa tabia aliyoionyesha Mgaya …