Na Joachim Mushi, Kibaha MRADI wa Maboresho ya Matumizi ya Fedha za Umma (PFMRP) umefanikiwa kuboresha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma hasa katika eneo la ukaguzi wa fedha katika taasisi na idara mbalimbali za Serikali. Kauli hiyo imetolewa leo Mjini Kibaha na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Bi. Ingiahedi Mduma alipokuwa akifafanua taarifa ya PFMRA kwa wanahabari wanaoshiriki …