BABA Mtakatifu Francis jana aliwasili nchini Marekani kuanza ziara ya kwanza kuwahi kuifanya nchini humo maishani mwake. Kwa kawaida marais wa Marekani huwapokea wageni rasmi Ikulu ya nchi hiyo, lakini alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kijeshi wa Andrews ulioko nje kidogo ya jiji la Washington, Baba Mtakatifu alipata heshima ya kulakiwa na Rais Obama na familia yake. Mbali na gwaride la …
Papa Francis Kuongoza Ibada Havana, Cuba
MAELFU ya waumini wa Kanisa Katoliki wanahudhuria misa mjini Havana ambayo itaongozwa na kiongozi wa kanisa hilo, Papa Francis ambaye anafanya ziara nchini humo kwa mara ya kwanza. Katika ujumbe wake, Papa Francis amezitaka Marekani na Cuba kuendelea kuboresha uhusiano kati yao. Akizungumza kwenye uwanja wa ndege wa Havana anapoanza ziara nchini Cuba na Marekani, papa Francis alipongeza uhusiano ambao …
Papa Francis Aanza Ziara Yake Sri Lanka, Waasi FDLR…!
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Farncis amewasili nchini Sri Lanka kwa ziara ambako anatarajiwa kusisitiza umhimu wa mazungumzo baina ya makundi mbalimbali ya imani hasimu za kidini nchini humo. Pamoja na hayo, Papa Francis akiwa nchini humo anatarajiwa kuhimiza suala la maridhiano wakazi walio wengi wa visiwa vya Sinhalese na wale wachache wa kisiwa cha Tamil. Hii ni ziara …
Papa Francis Aruhusu Wanamaombi Kanisani
MAKAO Makuu ya Kanisa Katoliki (Vatican), yametangaza kuwatambua rasmi makasisi wake wanaoombea na kutoa pepo wanaowashikilia waumini wao kama yanavyofanya makanisa ya Kipentekoste. Uamuzi huo ambao ni wa kwanza kutolewa katika historia ya kanisa hilo, umetolewa juzi na Papa Francis na kuchapishwa kwenye gazeti la Vatican la L’Osservatore Romano. Papa Francis (pichani) alibariki kundi la makasisi 250 kutoka nchi 30 …