Pan African Energy Tanzania Wakabidhi Nyumba ya Watumishi Zahanati ya Nangurukuru

Na Mwandishi Wetu, Nangurukuru KAMPUNI ya Pan African Energy Tanzania Ltd imekabidhi msaada wa jengo lenye nyumba mbili za wahudumu wa afya wa Zahanati ya Nangurukuru ikiwa ni jitihada za kuisaidia Serikali kupunguza vifo vya akinamama na watoto katika eneo la Nangurukulu na vijiji vya jirani. Akikabidhi majengo hayo jana kwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa, Meneja Uwajibikaji kwa Jamii …