Ask Indus Global Wazinduwa Ofisi Tanzania

Na Mwandishi Wetu, KAMPUNI ya ‘Ask Indus Global’ imezinduwa huduma zake nchini Tanzania ikiwa ni ofisi itakayo waunganisha wananchi nchini Tanzania juu ya huduma mbalimbali wanazohitaji nchini India wakiwa Tanzania. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa ofisi za Ask Indus Tanzania Limited, Mkurugenzi Mtendaji wa Ask Indus Global, Abhilash Puljal alisema ofisi hiyo ya Dar es Salaam itakuwa kiungo kwa …