Watafutaji Nyumba Sasa Kutumia Simu, Lamudi Yarahisisa

WATAFUTAJI nyumba za kupanga, nyumba za kununua pamoja na uuzaji wa bidhaa mbalimbali nchini Tanzania sasa wamerahisishiwa kupata huduma hizo kwa kutumia simu ya mkononi. Kampuni ya Lamudi Tanzania leo imetangaza namba maalumu ambayo itatumiwa na Watanzania ambao awali walikuwa wakihaha kuzunguka huu na kule kutafuta nyumba ama za kupanga au za kununua kwa matumizi mbalimbali. Akizungumza na vyombo vya …