Prof Mbarawa Ataka Kasi Ujenzi Nyumba za Watumishi wa Umma

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha wanakamilisha haraka miradi ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma zinazojengwa nchini kote. Ameyasema hayo mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi 851 zilizopo eneo la Bunju “B” ambazo zipo katika mpango wa Wakala …

Mbinu Kuu za Kuepuka Matapeli wa Nyumba

Mbinu Kuu za Kuepuka Matapeli wa Nyumba *Lamudi Tanzania, yawaasa Watanzania kuwa makini kabla na baada ya kununua nyumba. Kutokana na ongezeko la watu binafsi na mashirika yanayojenga nyumba za biashara kuongezeka kwa kasi, watanzania wamekuwa wakikadiriwa na ongezeko la utapeli wa nyumba na viwanja visiyohalali. Lamudi Tanzania, inarahisisha kupunguza utapeli katika soko hili kwa kuainisha njia kuu tatu za …

Waziri Lukuvi Azinduwa Nyumba 40 za Gharama Nafuu Babati

Sehemu ya nyumba 40 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Mrara Babati mkoani Manyara ambazo zilifumguliwa rasmi na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi amehitimisha ziara yake ya kutatua migogoro ya Ardhi katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Manyara na ameweza …

Nyumba Inapangishwa…!

Maelezo ya nyumba husika: Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom na viwili vya kawaida), dinning room, laundry na stoo. Ina simtanks 2 (lita 2000 na lita 1000). Iko ndani ya uzio na geti. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0763514988.