StarTimes Waibuka na Kifurushi cha Bei Raisi ‘Nyota’

  Baadhi ya wateja wakiangalia chaneli mbalimbali zinazorushwa na StarTimes kupitia vifurushi vyao mbalimbali.   KAMPUNI ya StarTimes Tanzania ambayo inatoa huduma bora na nafuu za matangazo ya digitali imezidi kupanua huduma zake baada ya kuja na kifurushi kipya na bei mpya ya king’amuzi kwa sh. 4000/- tu gharama ambayo ni ya chini kabisa kutowahi kutokea nchini.     Akizungumza katika …