JK Aipa Pole Familia ya Mwalimu Nyerere kwa Msiba

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole …

Nyerere “I Told You so Moment”

Naomba tujikumbushe ahadi za mwana TANU. Just think of their relevance to today’s circumstances. Ignore whether it is Tanganyika, Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote. Nitajitolea nafsi yangu kuondoa umaskini , ujinga, magonjwa na dhuluma. Rushwa ni adui wa haki. Sitapokea wala kutoa rushwa. Cheo ni dhamana . Sitakitumia cheo …