NA MWANDISHI WETU, HANDENI SHIRIKA la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Tanzania, limejitokeza tena kudhamini Tamasha kubwa la Utamaduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio (Kigoda Stadium), wilayani Handeni, mkoani Tanga. Hii ni mara ya pili kwa mfuko huo wa hifadhi kudhamini tamasha hili la utamaduni lilioanza mwaka jana, ambapo lilifanyika …
NSSF Kuuza Viwanja vya Makazi, Biashara na Matumizi Mengine Kiluvya A
Frank Mvungi – Maelezo SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) laanza kuuza viwanja takribani 444 vyenye jumla ya mita za mraba 465,161 katika eneo la Kiluvya A Halmashauri ya Kisarawe Mkoa wa Pwani. Hayo yamesema na Meneja Miradi wa NSSF Bw. Abdallah Mseli wakati wa ziara ya waandishi wa habari walipotembelea eneo la mradi huo kuona maendeleo ya …
NSSF Yakisaidia Kitengo cha Wagonjwa Mahututi Muhimbili
Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umechangia kiasi cha shilingi milioni 20 kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Msaada huo utatumika kununulia vifaa kwa ajili ya chumba cha Wagonjwa mahututi (ICU). Akizungumza kwenye makabidhiano hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili Dk. Marina Njelekela aliishukuru NSSF kwa msaada huo na kuongeza kuwa msaada huo utaenda …
NSSF Yadhamini Mechi ya Simba na Ndanda FC
Baadhi ya mashabiki wakishhudia mchezo huo. SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kupitia mpango wake wa wakulima Scheme imedhamini mechi kati ya Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam na Timu ya Ndanda FC ya Mtwara. Akizungumzia mchezo huo uliofanyika jana mkoani Mtwara, Meneja Kiongozi, Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume alisema mpango huo umelenga kuwasaidia wakulima …