NSSF Yaendesha Kambi za Kupima Afya Bure Mkoani Tanga
SHIRIKA la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), litaendesha kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Tanga. Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa ujumla waweze kujenga tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kujiwekea mfumo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa sugu yasiyoambukiza. Zoezi hili …
TAREHE MPYA YA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lina furaha kuwatangazia wadau wake tarehe mpya za Mkutano wa Tano wa Wadau. Wapi: Simba Hall, AICC- Arusha Tarehe: 2 Juni -4 Juni, 2015. Mgeni Rasmi: Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maelezo zaidi wasiliana na; Meneja Kiongozi, Idara ya Uhusiano na Huduma kwa …
NSSF Yahairisha Mkutano Wake na Wadau
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linasikitika kuwatangazia Wadau wake wote na umma kwa ujumla kuwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu Mkutano wa Tano wa Wadau uliokuwa ufanyike tarehe 5-7 Mei, 2015 jijini Arusha umeahirishwa. Tarehe mpya ya mkutano huo itatangazwa kwenye vyombo vya habari. Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakaojitokeza. Kwa maelezo …
MKUTANO WA TANO WA WADAU NSSF
MKUTANO WA TANO WA WADAU NSSF *ZAIDI YA HIFADHI YA JAMII: AJIRA, UJASIRIAMALI NA MICHEZO Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linapenda kuwatangazia wadau wake kufanyika kwa Mkutano wa tano(5) wa Wadau wa NSSF. Wapi: Simba Hall AICC- Arusha Lini: Tarehe 5-7 Mei, 2015 Washiriki: Wadau wa NSSF (Waajiri na Wanachama) Mkutano huo wa tano utakuwa mahususi kwa …