NSSF Yatoa Semina Kwa Maofisa Ajira na Fedha Dar

Na Joachim Mushi SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Temeke limefanya semina kwa maofisa ajira na Fedha zaidi ya 150 kutoka katika makampuni na taasisi anuai za eneo hilo ikiwa ni jitihada za kutoa elimu juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori imefanyika leo …