NSSF Yaichabanga Jambo Leo 3-0, Wakimbia Uwanja…!

*Mpira wa Pete, New Habari Waogelea Magoli 46-2 MASHINDANO ya NSSF Media Cup yameendelea kupamba moto ambapo leo timu ya mpira wa miguu ya NSSF imeichalaza bila huruma timu ya Jambo Leo kwa magoli 3 kwa mtungi. Mchezo huo mkali ambao uliwafanya wachezaji wa timu ya Jambo Leo kukimbia uwanjani kutokana na mvua ya magoli mfululizo ulivunjika dakika ya 69. …

NSSF Yaisimamisha Sekretarieti ya NSSF Media Cup

NSSF Media Cup, Bonanza, Dar BAADA ya kuenguliwa kwa timu tano za vyombo vya habari vya Global, Changamoto, Business Times, Radio Maria na New Habari kutokana na kuchelewa kuwasilisha majina ya wachezaji kwenye usajili, ikiwa ni mara ya kwanza katika miaka 12 tatizo kama hili kutokea, NSSF iliona ni vyema kutengua kanuni hii na kuweka adhabu itakayotosha kosa hili, na …

NSSF Media Cup 2015 Yafunguliwa Dar…!

    Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akihutubia baada ya kufungua mashindano hayo.  Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa mashindano hayo. Kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Ludovick Mrosso, Mwenyekiti wa Bodi …