Sudan Kusini na Tishio la Njaa…!

MAPIGANO yaliyodumu kwa zaidi ya miezi minane nchini Sudan Kusini yameliacha eneo hilo likikabiliwa na njaa baada ya wakulima kushindwa kuendesha shughuli za kilimo yakikimbia mapigano. Umoja wa Mataifa, UN umesema takriban watu milioni nne wako katika hatari kubwa ya kukosa chakula baada ya wakulima kushindwa kuzalisha msimu huu. Mvua zinazoendelea kushesha pia zimekwamisha zoezi la usambazaji wa misaada nchini …