RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye. Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada …
SEKTA YA VIWANDA NCHINI NA ULIPAJI KODI YA MAPATO
CHEMBA ya Madini na Nishati (TCME) imetambua na kuguswa na taarifa zisizo sahihi kwamba kampuni zinazojihusisha na uchimbaji mkubwa wa madini zimekuwa zikifanya shughuli zake hapa nchini bila ya kulipa kodi ya mapato. Chemba hii ni muwakilishi wa makampuni wanachama waliorasimisha shughuli zao katika sekta ya madini kuanzia kampuni ndogo za utafiti wa madini hadi wachimbaji wakubwa na wa kati …
STAMICO Yamuonesha Dk Pallangyo Namna Wanavyofanya Uokoaji
Ofisa wa Matukio ya Dharura wa Shirika la Madini la Taifa (Stamico), Jeremia Ibambasi (kulia), akitoa maelezo mafupi kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya Nishati, Dk Juliana Pallangyo ya uokoaji kwa mtu aliyemeza hewa chafu katika kiwanda cha uchanjuaji dhahabu katika maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam 2016 alipotembelea …
Kampuni za Uchimbaji Zatunisha Mapato Serikalini – TEITI
Na Mwandishi Maalumu MAPATO ya Serikali ya Tanzania yanayotokana na shughuli za uchimbaji yameongezeka kwa asilimia 28 katika kipindi cha mwaka 2013/14, kwa mujibu wa ripoti ya sita ya asasi nayoshughulika na biashara hiyo – Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI) – kwa kipindi kinachoishia Juni 30, mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti hiyo ambayo iliandaliwa na BDO East Africa …
Mkutano wa Madini Waairishwa Baada ya Kukosa Wadau Muhimu
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. Baadhi ya wadau wa madini wakibadilishana mawazo …
Nishati na Madini Kufadhili Masomo Nchini China
Mwanahabari Salome Kitomari kutoka gazeti la Nipashe, akiuliza maswali katika mkutano huo. Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo. Hapa mkutano ukiendelea. Na Dotto Mwaibale WIZARA ya Nishati na Madini imetangaza nafasi za masomo kwa vijana wa Tanzania kwa ufadhili wa Serikali ya Watu wa China kwa kipindi cha mwaka 2015. Hayo yalibainishwa na Msemaji wa Wizara hiyo …