Pinda Aalika Wawekezaji Sekta za Afya, Kilimo na Nishati

*Obasanjo asisitiza ajira kwa vijana Afrika   WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali imefungua milango kwa wawekezaji kwenye sekta zote lakini mkazi unaelekezwa zaidi kwenye sekta ya afya, kilimo hasa usindikaji mazao, nishati na miundombinu. Ametoa kauli hiyo Oktoba 20, 2014 wakati akishiriki Mjadala wa Marais (Presidential Keynote Panel) kuhusu fursa za uwekezaji barani Afrika uliolenga kuonyesha fursa za uwekezaji …